Saturday, December 13, 2014

TAASISI ZINAZO KUZA NA KUENEZA KISWAHILI DUNIANI

cNAMBARI
JINA KAMILI
KIFUPISHO
TAREHE LIIYOANZISWA
MAHALA KILIPO
1.
Taasisi ya elimu ya watu wazima
TEWW
1963
TANZANIA
2.
Taasisi ya elimu  Tanzania
TE
1966
TANZANIA
3.
Chama cha kimataifa cha fonetiki
CHAKIFO
1888
UENGEREZA
4.
Chama cha Kiswahili kenya
CHAKIKE
1980
KENYA
5.
Shirika la universities mission to central africa
UMCA
1875
UENGEREZA
6.
Tanganyika broad coasting
TBC
1951
TANGANYIKA/ TANZANIA
7.
Sauti ya Tanzania Zanzibar
Z.B.C/S.T.Z
1941
ZANZIBAR
8.
Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili
TUKI
1963
TANZANIA
9.
Chama cha ukuzaji Kiswahili Duniani
CHAUKIDU
26/04/2012.
TANZANIA
10.
Baraza la Kiswahili la Taifa
BAKITA
1963
TANZANIA
11.
Chama cha wanafunzi Afrika mashariki
CHAWAKAMA
2004
AFRIKA MASHARIKI
12
Chama cha usanifu wa Kiswahili na ushairi Tanzania
UKUTA
30/3/1959
TANZANIA
13
Chama cha Kiswahili Tanzania
CHAKITA
1998
KENYA
14
Umoja wa waandishi wa vitabu Tanzania
UWAVITA
1978
TANZANIA
15
 Baraza la Kiswahili Zanzibar
BAKIZA
1984
ZANZIBAR
16
Chama cha Kiswahili cha Afrika
CHAKA
1978
AFRIKA MASHARIKI
17.
Deutshe well
DW
1953
UJERUMANI





NAMBARI
JINA KAMILI
KIFUSHO
MWAKA
KILIPO ANZISWA
18.
Taasisi ya ukuzaji mitaala
TUMI
1987
TANZANIA
19.
Chama cha Kiswahili chuo kikuu cha dar essalam
CHAKICHUKIDA
1972
TANZANIA
20.
Redio free Afrika
RFA
1997
TANZANIA


No comments:

Post a Comment